Majibu Yote Hadharani!

Mpendwa, unaweza ukawa na kipato kizuri, lakini kila mara hujui kinapokwenda.

Unaenda Mbali Zaidi na kujiuliza, je, unawezaje kuboresha hali yako ya kifedha bila kushawishika kukopa?

Ni mtihani kweli, kwasababu hii ni hali inayozua taharuki na hofu kubwa sana.

Huku ukihisi kuwa kama huwezi kuishi bila madeni.

Ni vigumu sana kufurahia kazi yako unapokumbana na hii hali.

Na Watu wengi watakushawishi kwamba hii ni hali ya kawaida na haiwezi kubadilishwa.

Lakini ukweli ni kwamba, kuna njia zinazoweza kukusaidia na kuboresha hali yako.

Ni usiwe na wasiwasi kwasababu Kwenye Semina Ya Kisima Cha Maarifa 2024 (https://wa.link/7xpijv), Kwani utajifunza jinsi ya kufuatilia matumizi yako, kudhibiti fedha zako, na kupata suluhisho la kudumu.

Hii itakusaidia kuondokana na mzunguko wa madeni na utaweza kuongeza kipato chako.

Njoo Jiunge na Wenzako Kwenye Semina Ya Kisima Cha Maarifa 2024 sasa! Usiruhusu kupoteza fursa ya kuboresha hali yako ya kifedha. Ujifunze mbinu za kudumu za kuongeza kipato chako.

LKaribu kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.

Semina hii inakwenda kukupa maarifa sahihi ya KUPATA, KUTUNZA na KUZALISHA fedha kwa kutumia nguzo saba unazopaswa kuzijua.

Nguzo hizo saba za kukuwezesha kuwa imara kifedha ni kama ifatavyo;

  1. KIPATO; Kikubwa, Uhakika na Endelevu.
  2. AKIBA; Dharura, Malengo na Nidhamu.
  3. MATUMIZI; Mahitaji, Matakwa na Anasa.
  4. MADENI; Mazuri, Mabaya na Kutokomeza.
  5. MATOLEO; Sadaka, Misaada na Kodi.
  6. UWEKEZAJI; Masoko, Hatifungani na Mali.
  7. ULINZI (BIMA); Afya, Mali na Maisha

Kwenye nguzo hizo saba unakwenda kujifunza kwa vitendo na kutoka na hatua za kwenda kuchukua ili uwe imara kifedha.
Hupaswi kukosa SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 kama upo makini na fedha zako.

Semina itafanyika Mbezi Garden Hotel DSM tarehe 27/10/2024.

Ada ya kushiriki semina ni Tsh 65,000/= Kama utalipa kabla ya tarehe 01/10/2024 na kuanzia tarehe 01/10/2024 ada ya kushiriki itakuwa Tsh 100,000/=.

Kwa Mfano Ukibonyeza Hapa https://wa.link/7xpijv Utapata Utaratibu Mzima Wa Kushiriki Semina Ya Kisima Cha Maarifa 2024.
Karibu rafiki uchukue hatua sasa ili kupata nafasi ya kushiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.
Karibu. 👉 https://wa.link/7xpijv