Mpendwa,

Hapo Nyuma Rafiki alikuwa anaingiza kipato kizuri sana, lakini matumizi yake yalikuwa hayana mpangilio.

Alijikuta akimaliza fedha zote kabla ya mwisho wa mwezi, na kila mara alikuwa akihangaika kuomba msaada kutoka kwa marafiki na familia.

Kibaya zaidi ni kwamba, kila mwezi ilikuwa ni vita mpya ya kifedha kwake.

Hakuweza kuweka akiba wala kufikiria kuwekeza. Hali hiyo ilimchanganya Sana.

Na watu wengi waliokuwa wakimzunguka waliamini kuwa kuishi kutoka mshahara hadi mshahara ni jambo la kawaida.

Walimshauri Rafiki kuwa ni vigumu kuepuka matumizi makubwa kutokana na gharama za maisha, lakini Rafiki alihisi kuwa lazima kuna njia ya kutoka.

Ni Mpaka pale alipojiunga na Jamii Ya Tofauti Ya Kisima Cha Maarifa, Ndipo Rafiki akapata fursa ya kujifunza mbinu za kupanga bajeti, kudhibiti matumizi, na kuwekeza kwa busara.

Lakini baada ya mafunzo, maisha yake yamebadilika Sana.

Sasahivi ana akiba na anawekeza kwa ajili ya siku zijazo.

Kwahiyo na Wewe Ukitaka kudhibiti matumizi yako na kuanza kuweka akiba na kuwekeza, Basi  Tafadhali shiriki Semina Ya Kisima Cha Maarifa 2024.

Usikubali Kuendelea Kujipunja Tena. Karibu Ubadili Historia Ya Maisha Yako.

Karibu kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.

Semina hii inakwenda kukupa maarifa sahihi ya KUPATA, KUTUNZA na KUZALISHA fedha kwa kutumia nguzo saba unazopaswa kuzijua.

Nguzo hizo saba za kukuwezesha kuwa imara kifedha ni kama ifatavyo;

1. KIPATO; Kikubwa, Uhakika na Endelevu.
2. AKIBA; Dharura, Malengo na Nidhamu.
3. MATUMIZI; Mahitaji, Matakwa na Anasa.
4. MADENI; Mazuri, Mabaya na Kutokomeza.
5. MATOLEO; Sadaka, Misaada na Kodi.
6. UWEKEZAJI; Masoko, Hatifungani na Mali.
7. ULINZI (BIMA); Afya, Mali na Maisha

Kwenye nguzo hizo saba unakwenda kujifunza kwa vitendo na kutoka na hatua za kwenda kuchukua ili uwe imara kifedha.
Hupaswi kukosa SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 kama upo makini na fedha zako.

Semina itafanyika Mbezi Garden Hotel DSM tarehe 27/10/2024.

Ada ya kushiriki semina ni Tsh 65,000/= Kama utalipa kabla ya tarehe 01/10/2024 na kuanzia tarehe 01/10/2024 ada ya kushiriki itakuwa Tsh 100,000/=.

Kwa Mfano Ukibonyeza Hapa https://wa.link/7xpijv Utapata Utaratibu Mzima Wa Kushiriki Semina Ya Kisima Cha Maarifa 2024.


Karibu rafiki uchukue hatua sasa ili kupata nafasi ya kushiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.

Karibu. 👉 https://wa.link/7xpijv