Habari Rafiki,

Leo ndiyo siku ya mwisho ya kuthibitisha ushiriki wako kwenye semina ya kipekee ya USIMAMIZI WA FEDHA BINAFSI 2024.

Kwenye semina hii, utajifunza ujuzi wa aina 3 muhimu:

1. Kupata Fedha – Mbinu za kuongeza kipato chako.

2. Kutunza Fedha – Mikakati ya kudhibiti matumizi Yako.

3. Kuzalisha Fedha – Jinsi ya kuzidisha utajiri wako.

Fikiria jinsi maisha yako yatakavyokuwa baada ya kujifunza na kutumia ujuzi huu.

Hautakuwa na wasiwasi tena kuhusu malipo ya bili, dharura za kifedha, au mipango ya baadaye.

Badala yake, utakuwa na uwezo wa kupata zaidi, kuokoa zaidi, na kuzalisha zaidi.

Watu wengi waliohudhuria semina kama hii wamefanikiwa kuongeza kipato chao kwa asilimia kubwa na kujenga maisha yenye utulivu wa kifedha.

Usikose nafasi hii! Jisajili leo kabla ya muda kuisha.

Bonyeza hapa *https://wa.link/7xpijv*