Mpendwa,
Kipindi kile Eliya alikuwa akiweka malengo kila mwaka ya kuongeza kipato chake, lakini kila mara alijikuta katika hali ile ile.
Na alianza kupoteza matumaini kwani alihisi kila juhudi alizoweka hazikuwa na matokeo.
Na Marafiki zake walimwambia kuwa labda anatakiwa kukubali hali ilivyo, lakini Eliya alikataa kukata tamaa.

Kwahiyo baada ya kukutana na jamii ya tofauti ya Kisima Cha Maarifa,
Eliya alijifunza mbinu mpya za kuongeza kipato na kuacha kutegemea mshahara pekee.
Sasa ana vyanzo vingi vya mapato na anaendelea kuvuna matunda.
Jiunge na shiriki Semina Ya Kisima Cha Maarifa 2024 na jifunze kuongeza kipato kwa urahisi!
Karibu kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.
Semina hii inakwenda kukupa maarifa sahihi ya KUPATA, KUTUNZA na KUZALISHA fedha kwa kutumia nguzo saba unazopaswa kuzijua.
Nguzo hizo saba za kukuwezesha kuwa imara kifedha ni kama ifatavyo;
- KIPATO; Kikubwa, Uhakika na Endelevu.
- AKIBA; Dharura, Malengo na Nidhamu.
- MATUMIZI; Mahitaji, Matakwa na Anasa.
- MADENI; Mazuri, Mabaya na Kutokomeza.
- MATOLEO; Sadaka, Misaada na Kodi.
- UWEKEZAJI; Masoko, Hatifungani na Mali.
- ULINZI (BIMA); Afya, Mali na Maisha
Kwenye nguzo hizo saba unakwenda kujifunza kwa vitendo na kutoka na hatua za kwenda kuchukua ili uwe imara kifedha.
Hupaswi kukosa SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 kama upo makini na fedha zako.
Semina itafanyika Mbezi Garden Hotel DSM tarehe 27/10/2024.
Ada ya kushiriki semina ni Tsh 65,000/= Kama utalipa kabla ya tarehe 01/10/2024 na kuanzia tarehe 01/10/2024 ada ya kushiriki itakuwa Tsh 100,000/=.
Kwa Mfano Ukibonyeza Hapa https://wa.link/7xpijv Utapata Utaratibu Mzima Wa Kushiriki Semina Ya Kisima Cha Maarifa 2024.
Karibu rafiki uchukue hatua sasa ili kupata nafasi ya kushiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.
Karibu. 👉 https://wa.link/7xpijv