Hii ni Fursa Yako Ya Kubadilika!

Mpendwa,
Matumizi yasiyopangwa yanaweza kukuharibia mipango yako ya kifedha. Je, umekuwa ukijikuta unatumia pesa kiholela?
Semina ya Kisima Cha Maarifa 2024 itakufundisha mbinu za kudhibiti matumizi yako na kuanza kutunza pesa zako kwa njia bora.
Huu ni muda wa kubadilika na kuhakikisha kuwa kila shilingi unayoipata ina maana.
Jiunge nasi leo na jifunze jinsi ya kuacha kutumia pesa kwa pupa.
Hakikisha unajisajili sasa! 👇
Kumbuka; Ana Kwa Ana ni Tshs 100,000 TU!
Online ni Tshs 65,000 TU!. Tarehe ni 27/10/2024.