Habari Mpendwa,

Watu wengi wana uwezo wa kupata pesa, lakini changamoto inakuja pale ambapo tunatakiwa kuzitunza na kuzizalisha.

Je, Unajua Namna Bora Ya Kufanya Hivyo?

Ikiwa bado hujapata majibu, basi semina hii ni kwa ajili yako.

Na kwenye Hii Semina ya USIMAMIZI WA FEDHA BINAFSI utajifunza njia bora za kuongeza kipato chako na kudhibiti matumizi yako.

Hapa, utaweza kujifunza:Mbinu za kupata mapato ya ziada.

Jinsi ya kudhibiti matumizi yako ili kuzuia upotevu wa fedha.

Kuweka mipango ya kifedha yenye faida kubwa.

Na kama unataka kujifunza jinsi ya kuwa na uhuru wa kifedha, jiunge na semina hii na upate maarifa yatakayokusaidia kwa maisha yako yote.

Bonyeza hapa https://wa.link/7xpijv na uhakikishe unapata nafasi yako.Usikubali pesa zako ziende bure!

Jiunge nasi na uanze kujifunza njia za kuongeza akiba yako.

Karibu.