
Mpendwa Mshiriki,
Kujua jinsi ya kuanzisha na kuendesha biashara inaweza kuwa chachu ya mafanikio yako kifedha.
Kwani kwenye Semina ya USIMAMIZI WA FEDHA BINAFSI 2024, utapata elimu na mbinu za kuanzisha biashara yako na kuwekeza kwa faida.
Utajifunza kuhusu:
Mikakati ya Biashara: Fahamu jinsi ya kutathmini na kuchagua biashara zinazofaa.
Njia za Kutafuta Mitaji:
Jua njia bora za kupata mitaji kwa ajili ya biashara yako.
Mbinu za Uwekezaji: Jifunze jinsi ya kuwekeza katika mali zinazokuletea faida kubwa na endelevu.
Ikiwa unataka kufikia uhuru wa kifedha, basi nafasi hii ni kwa ajili yako.
Tafadhali! Jiunge Nasi Kwa Kubonyeza Hapa 👉 https://wa.link/7xpijv