Mpendwa,
Nimekuwa nikifikiria kuhusu kustaafu na kuishi maisha ya furaha na amani,

….lakini sijaweka mpango wa uhakika wa kifedha wa kunisaidia kufanikisha hayo malengo.

Lakini fikra za kustaafu na kukosa fedha za kutosha zimeanza kunisumbua.

Ninaogopa kuwa na umri mkubwa na kuwa omba omba yaani kutegemea Wengine wanilishe.

Na nilijaribu kuwekeza kwenye mipango kadhaa, lakini ukosefu wa maarifa ya kina umenifanya niwe na mashaka.

Haikuwa rahisi kuendelea bila kuwa na mwongozo sahihi.

Na Baada ya kusikia kuhusu Semina Ya Usimamizi Wa Fedha Binafsi, nilijua kuwa ni mahali nitakapopata ushauri bora wa kupanga kustaafu kwangu kwa ufanisi.

Sasa nina mpango madhubuti na njia za kuzalisha kipato kitakachoniwezesha kustaafu kwa amani.

Ikiwa na Wewe unataka uhakika wa maisha bora ya kustaafu bila wasiwasi wa kifedha,

Jiunge nasi kwenye semina kwa kubonyeza hapa https://wa.link/7xpijv

Anza Leo Kujiandaa Kwa Maisha Bora Ya Baadaye!