Mpendwa,

Unapambana Kudhibiti Matumizi Yako na Kuongeza Kipato?

Habari njema ni kwamba, Kwenye Semina Ya Kisima Cha Maarifa Ya Mwaka Huu, utajifunza kutoka kwa wataalamu walioidhinishwa na Benki Kuu Ya Tanzania (BOT).

Jinsi ya kudhibiti matumizi yako na kuongeza kipato chako bila kubadilisha mtindo wako wa maisha.

Fikiria kuwa na amani ya kifedha na uhakika wa jinsi ya kutumia fedha zako kwa hekima.

Mpendwa Usikose nafasi hii – Jiandikishe leo na upate maarifa yatakayobadilisha historia ya Maisha Yako!

Tafadhali Nafasi Yako Ipo https://wa.link/7xpijv

Siku Ya Semina Ni Tarehe 27/10/2024.

Bado Ada Ya Ana Kwa Ana ni Tshs Tshs 100,000Tu!.

Online ni Elfu 65,000Tu!

Ukumbi; Mbezi Garden HOTEL.

Karibu Sana https://wa.link/7xpijv