
Jumapili hii ya tarehe 27/10/2024 ndiyo siku ya SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.
Semina ya mwaka huu ni ya kujijengea USIMAMIZI WA FEDHA BINAFSI.
Utajifunza na kuweza;
- Kuongeza kipato.
- Kudhibiti matumizi.
- Kuweka akiba.
- Kuondoka kwenye madeni.
- Kufanya matoleo.
- Kufanya uwekezaji.
- Kujilinda na bima.
Kwa ada ya Tsh 100,000/= utaweza kushiriki kwa kuhudhuria pale Mbezi Garden Hotel DSM.
Na kama upo mbali au huwezi kufika, kwa ada ya Tsh 65,000/= utaweza kushiriki kwa njia ya mtandao (live streaming) na kupata rekodi ya mafunzo.
Nafasi zimebaki chache, leo ndiyo siku ya mwisho kabisa kupata nafasi hii.
Chukua hatua sasa ili upate nafasi ya kushiriki semina.
ZAWADI NZURI KWAKO.
Rafiki, kama utalipia ada ya kushiriki semina leo, utapata zawadi zifuatazo;
- Kitabu cha NGUVU YA BUKU (Thamani yake ni elfu 30).
- Tisheti ya semina (Thamani yake elfu 15).
- App ya UTAJIRI.TZ (Thamani yake Tsh laki 1).
Chukua hatua sasa upate nafasi ya kushiriki semina na kupata zawadi.
Bonyeza Hapa 👇 kupata nafasi yako.https://wa.link/7xpijv
Kumbuka, mwisho ni leo. Chukua hatua sasa.
Kutoka kwa rafiki yako,
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.