
Mpendwa,
Rashidi alikuwa mfanyakazi wa kawaida Ambaye alikuwa akipata mshahara mdogo ambao ulikuwa haukidhi mahitaji ya familia yake.
Kila mwezi alikopa pesa ili kuyaendesha maisha yake, huku akiishi kwa hofu ya madeni.
Kila mara alipowaza kuhusu hali yake ya kifedha, Rashidi alihisi kushindwa na kukata tamaa.
Alijihisi kama anazama kwenye dimbwi la madeni, huku akishuhudia ndoto zake za maisha bora zikizidi kufifia.
Marafiki zake walimshawishi kuwa hawezi kubadilisha maisha yake bila mtaji mkubwa.
Walimwambia kuwa watu maskini kama yeye hawana nafasi ya kufanikiwa kifedha.
Lakini kama bahati siku moja, Rashidi alijiunga na Program Ya Nguvu Ya Buku.
Program Hii ilimfunza jinsi ya kutumia shilingi elfu moja kuanzisha safari yake ya kifedha.
Alianza kuweka akiba kidogo kidogo na kuwekeza kwa busara.
Leo, Rashidi amejijengea biashara ndogo inayomletea kipato cha ziada.
Amelipa madeni yake yote na anaishi maisha ya amani.
Kama Rashidi aliweza, hata wewe unaweza.
Nunua kitabu hiki cha Nguvu Ya Buku leo na uanze safari yako ya kifedha.
Leo Unakipata Kwa BUKU Bonyeza Hapa https://wa.link/mx3mzo
Karibu Rafiki.