Mpendwa,

Mpendwa,
Subira alikuwa mama wa nyumbani mwenye ndoto Kubwa za kumiliki biashara yake.
Lakini, kila alipowaza kuanzisha biashara, changamoto za kifedha na hofu ya kushindwa zilimzuia kuchukua hatua.
Miezi ilipita, Subira alihisi huzuni na kukata tamaa. Aliona maisha yake yakikwama, huku ndoto zake zikizidi kufifia kila siku.
Watu walimwambia kuwa hawezi kufanikisha biashara bila pesa nyingi au elimu ya juu ya biashara.
Maneno yao yalizidi kumkatisha tamaa.
Lakini alipokutana na Program Ya Nguvu Ya Buku,
Subira alipata mwongozo wa hatua kwa hatua wa jinsi ya kuanza biashara bila mtaji mkubwa.
Alijifunza jinsi ya kutumia kile kidogo alichonacho kuanzisha na kukuza biashara yake.
Sasa Subira anamiliki biashara inayostawi na inaongeza kipato cha familia yake.
Je, unataka kufanikisha ndoto zako kama Subira?
Nunua Kitabu Kipya Cha Nguvu Ya Buku na ujifunze siri ya kutumia kidogo ulicho nacho kuanzisha safari yako ya kifedha.
Ni Hapa 👉 https://wa.link/mx3mzo
