Mpendwa Rafiki,

Matatizo ya kifedha yasiyotegemewa yanaweza kukujia wakati wowote, na kutokuwa na akiba ya dharura kunaweza kukuweka kwenye matatizo makubwa.
Je, unajiandaa vipi kukabiliana na gharama za ghafla, kama dharura za kiafya au kupoteza kazi?
Bila akiba ya dharura, unaweza kulazimika kukopa na kujikuta kwenye madeni makubwa.
Sio kweli kwamba akiba ya dharura ni kwa ajili ya watu wenye kipato kikubwa tu.
Kila mtu anaweza kujitengenezea akiba kidogo kidogo.
Katika Nguvu Ya Buku, utajifunza mbinu za kuweka akiba bila kujinyima sana.
Mbinu hizi ni rahisi na zinaweza kukusaidia kujenga hazina ya dharura kwa ajili ya matatizo yasiyotegemewa.
Linda maisha yako ya kifedha.
Kwa Kuanzia Hapa https://wa.link/mx3mzo Ili ujifunze jinsi ya kujiandaa kwa dharura za kifedha!
Karibu.