Mpendwa Rafiki,

Watu wengi sana, wanashindwa kupiga hatua kubwa sana Kwenye maisha yao.

Nasio kwasababu wana uwezo mdogo Sana,

Bali ni kwasababu umakini wao wote wameupeleka Kwenye Kushindana,Yaani una mkuta mtu lengo lake ni kuwashinda wengine.

Huyu atafanya kila njama za kila aina ili tu kuwaangusha wengine.

Na hata akifanikiwa kuwaangusha wengine anapata raha ya mda mfupi na sio furaha.

Kwasababu kuna tofauti kubwa sana kati ya Furaha na Raha.

Raha Haidumu Mda Mrefu ,Bali Furaha Inadumu.

Na mwisho mtu huyu anachoka vibaya sana…

Na ukweli ni kwamba mtu huyu hawezi kukua na kufikia kilele cha mafanikio makubwa Kwenye kile anachofanya.

Kwahiyo Rafiki yangu kama unataka kupiga hatua kubwa sana Kwenye maisha yako,

Basi cheza ili kuendelea kucheza nasio Kushindana.

Kujifunza Zaidi hili kwa kina rudia kusoma kitabu cha UNA NGUVU YA KUTENDA MIUJIZA.

Kukipata Anzia Hapa https://wa.link/c1rx