Mpendwa Rafiki,

Kila mmoja wetu anajua umuhimu wa kuwa na malengo kwenye maisha yake,

Na kila mtu ana malengo yake anayotaka kuyafikia,

Inawezekana ikawa ni lengo la mwaka, mwezi, wiki au siku.

Lakini kinachobadilisha maisha ya mtu mazima,

Ni malengo makubwa ambayo hayawahi kuyafikia kabisa,

Kwani yanamuongezea ufanisi na uwezo wa kufikiri kwa usahihi zaidi,

…kuliko mwenye malengo madogo.

Na haya malengo makubwa yanasifa zifuatazo,

-Lazima Yahamasishe.

– Lazima Yawe Mahususi.

– Lazima Yawe na Muda.

– Lazima Yapimike.

Jikague kisha panga upya,

Anyway, Na kama bado hujapakua aplikesheni ya UTAJIRI.TZ,

Basi ipakue hapa 👇 https://www.bit.ly/utajiritz

Karibu Sana https://wa.link/mx3mzo