
Mpendwa Rafiki,
Karibu kwenye App Ya CHUO Cha MAUZO,
Hii ni zana ya kipekee iliyoundwa kwa ajili ya wauzaji, wafanyabiashara, na wajasiriamali wanaotaka kukuza mauzo yao x2 kwa njia ya kitaalamu na kisasa.
App hii ya CHUO CHA MAUZO unaweza kuiweka mfukoni mwako!
Na ukatembea nayo barabarani,
Na inakupa….
- Mafunzo Bora ya Mauzo: Mbinu za kitaalamu za kushawishi wateja na kufunga mauzo haraka.
- Inakupa Vitabu Bora Vya Mauzo.
- Inakupa Mbinu za Kuandika Matangazo: Unajifunza jinsi ya kuandika matangazo yanayogusa hisia na kushawishi wateja kununua.
- Inakupa Mikakati ya Kuvutia Wateja: Vidokezo vya kuongeza wateja na kudumisha mahusiano nao.
- Ikakupa Njia za Kisasa za Mauzo: Vidokezo vya mauzo yanayofanya kazi katika dunia ya leo.
Kuipata ingia hapa 👇 Tafadhali! https://tinyurl.com/2fwdsftx
Karibu Sana.
Ni hapa 👉https://tinyurl.com/2fwdsftx