
Mpendwa Rafiki,
Umegundua kuwa maoni yako mara nyingi hayachukuliwi kwa uzito unaostahili, na mara nyingi huwezi kuwashawishi watu kukubali kile unachotaka.
Hali hii inakufanya ujisikie dhaifu na kukosa udhibiti, huku wengine wakipata wanachotaka kwa urahisi.
Unabaki ukiwaza kwa nini hawakusikilizi au kuthamini maoni yako.
Kitabu Cha *Ushawishi* kinakufundisha mbinu bora za kushawishi, kuanzia maneno unayotumia hadi namna ya kuunda hoja zinazogusa hisia za watu.
Jifunze jinsi ya kufanya wengine wakukubalie kwa hiari, na hata kupenda kufanya hivyo.
Anyway, kama bado hujakisoma ingia humu 👇
Na kama bado hujapakua aplikesheni ya UTAJIRI.TZ,
Basi ipakue hapa 👇 *https://www.bit.ly/utajiritz*
Karibu Sana.