
Mpendwa Rafiki,
Salma alikuwa akilalamika kila siku kwamba hana muda wa kufanikisha ndoto zake.
Ratiba yake ilikuwa imejaa, na alihisi maisha yanazidi kumlemea.
Siku moja, rafiki yake alimpa nakala ya Muda Upo.
Alisoma kuhusu jinsi watu wenye ratiba ngumu kama yake walivyoweza kupata muda wa kujenga maisha yao na kutimiza ndoto zao.
Salma alijifunza mbinu za kudhibiti muda na kuweka vipaumbele sahihi.
Leo, Salma ameweza kufanikisha biashara aliyokuwa akiiota kwa miaka mingi na bado ana muda wa kuwa na familia na marafiki.
Je, na wewe unahisi muda haukutoshi?
Pata nakala yako ya Muda Upo na uanze safari ya kudhibiti muda wako leo.
Salma alianzia hapa 👉 https://wa.link/04vyox
Ofa hii ni ya leo TU! Na ni ya watu watano TU!
Karibu.
https://wa.link/04vyox