Mpendwa Rafiki,
Juma alikuwa na mshahara mzuri, lakini matumizi yake yalikuwa makubwa zaidi kuliko kipato chake.

Alijikuta kila mara akikopa kwa marafiki na benki.


Rafiki yake mmoja alimshauri asome Usimamizi wa Fedha Binafsi.

Ndani ya kitabu hiki, alijifunza jinsi ya kuweka vipaumbele, kubana matumizi yasiyo ya lazima, na kuanza kuweka akiba.

Baada ya miezi kadhaa kupita, Juma aliacha kukopa na alianza kuwekeza kwa ajili ya ndoto zake za siku za usoni.

Hata wewe unaweza kushinda changamoto za kifedha kwa maarifa sahihi.

Pata nakala yako ya Usimamizi wa Fedha Binafsi sasa na anza kujenga maisha bora ya kifedha.

Kama bado hujakipata weka oda yako hapa

👉https://wa.link/9negmd

Na Kwa Kuwa tunakupenda basi ukichukua kitabu hiki leo unapata zawadi ya kitabu kingine kilichotafsiriwa kwa kiswahili Cha SAIKOLOJIA YA PESA Bure Kabisa.

Ni hapa 👉 https://wa.link/9negmd.