.

Rafiki,Timu ya SOMA VITABU TANZANIA tunakushukuru sana wewe kwa kuwa pamoja nasi mwaka 2024.

Wewe umekuwa sehemu sana ya jamii hii ya wapenda maarifa.

Tunakuahidi kukupatia maarifa bora zaidi mwaka 2025 kupitia vitabu na mafunzo.

Tunakutakia heri ya sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya.

Kupata vitabu ingia; http://www.bit.ly/somatztz

Karibu tuendelee kuwa pamoja.