Mpendwa Rafiki,
Heri Ya Kuuanza Salama Mwaka Mpya 2025

Nakumbuka jana mchana ilivyokuwa, nilikuwa nikiwasiliana na rafiki yangu Wa nguvu kwa njia ya simu.
Aliniambia, Bwana Ramaa natamani sana kukipata kitabu chako,
…lakini bei imekuwa changamoto changu ukizingatia mwezi huu Januari nawalipia watoto watatu Ada.
Kiukweli sauti yake ilinihuzunisha sana, na nikajua lazima nitafute njia ya ya kumsaidia na kuwasaidia wengine wengi zaidi wanaopitia changamoto kama yake,
…bila kupunguza thamani ya kile nilichotoa.[
Ndio maana leo hii nimeamua kufanya kitu cha kipekee k[abisa kwake na kwa wengine!
Hii si ofa ya kawaida; ni zawadi yangu kwa rafiki yangu na kwako kwa heshima ya mwezi Januari.
Kwa watu 9 [wa kwanza wanawapa ofa hii ya kipekee, na wale wote walioshindwa kumudu bei ya awali, nimeamua:
🔥 Badala ya Tsh 50,000, sasa unakipata kwa Tsh 9,950 tu!
Lakini kwa nini ni muhimu uanze leo?
Kitabu hiki kimebadili maisha ya wajasiriamali wengi kwa[[ kuwafundisha:
Jinsi ya kugusa hisia za wateja kwa hadithi.
Mbinu za copywriting zinazoongeza mauzo mara mbili Zaidi.
Njia rahisi za kuandika matangazo yanayouza haraka.
Bonasi Maalum Kwako;
Kwa watu 9 Tu wa kwanza wanapata:
- Mwongozo wa bure wa kuandika tangazo lako la kwanza. (Thamani Yake Ni Tshs 50000)
- Orodha ya maneno 50 ya kushawishi yatakayokusaidia kuandika matangazo yako kwa urahisi na kwa haraka.(Thamani Yake Ni 20000)
- Dakika 15 za ushauri wa moja kwa moja na mim[i ili kuanza safari yako ya kuandika matangazo ya bidhaa au huduma zako na kuuza kwa hadithi.(Thamani Yake Ni Tshs 50000)
Jumla ya thamani yote ni Tshs 120000 Nzima.
Lakini ni kama bahati kwako leo unapata vyote hivi pamoja na kitabu kwa Tshs 9950 Tu!
Hii ni fursa yako ya kuandika historia mpya kwenye maisha yako na biashara yako kwa ujumla.
👉 Ni Rahisi Bonyeza Hapa Chini👇
https://vitabu.somavitabu.co.tz/#/view/shop-item/76
Ujipakulie kitabu chako kabla ya nafasi hizi kuisha.[
Kumbuka; Hii Ni Ofa Ya Leo Tu! Kwasababu Ya Rafiki Yan[gu Wa Nguvu.
Ni Hapa 👉
https://vitabu.somavitabu.co.tz/#/view/shop-item/76/