Mpendwa Rafiki,

Bado nakumbuka hapo nyuma, Nilipokuwa naianza safari yangu ya uandishi wa matangazo, nilidhani kila kitu ni kuhusu maneno mazuri.

Lakini nilikuja kugundua kuwa hata maneno mazuri hayana maana yoyote kama hayatagusa hisia za mtu.

Siku moja, nilisikia kuhusu mbinu za hadithi zinazoshawishi na kila kitu kikabadilika.

Nilijifunza kuwa kila tangazo linaweza kuwa daraja kati ya tatizo la mteja na suluhisho lako.

Nilipoanza kutumia siri hizi, watu walilia, walicheka, na zaidi ya yote wanachukua hatua.

Tangu siku hiyo, uandishi wangu wa matangazo ukawa silaha yenye nguvu hapa mjini,

Sasa, ninaandika si kwa ajili ya kuuza tu, bali kugusa nafsi za wateja wangu.

Hii ndiyo nguvu ya *Siri Za Hadithi Za Mauzo*- zana ya kuleta mageuzi kwenye maisha yako na ya wengine.

*https://tinyurl.com/6n3avn37*

Na ni kama bahati kwako leo, bonyeza hapo Chini kukipata kwa zawadi ya Mwaka Mpya.

👇

*https://tinyurl.com/6n3avn37*