
Mpendwa Rafiki,
Ingawa unataka kukuza mauzo kwenye biashara yako, lakini unashindwa kupata matokeo makubwa kwa mwendelezo.
Hii hali inakuacha ukiishi kwa kutokuwa na mwelekeo uliowazi, huku mauzo yako yakishindwa kukua kila siku.
Lakini sio kwamba hauna uwezo mkubwa.
Bali unahitaji maarifa ya kimauzo ambayo yatakufanya uwe mshindi.
Na ni kama zali kwako kwani Chuo Cha Mauzo kitakufundisha mikakati ya mauzo inayowashawishi wateja kuchukua hatua na kununua.
Fanya mabadiliko leo! Nunua Chuo Cha Mauzo na jifunze kutoka kwa wataalamu.
Ni kama bahati kwako, na leo unakipata kwa ofa ya Tshs 20,000 TU! Badala Ya Elfu 30 Nzima TU!
Okoa Elfu 10 Nzima kwa kubonyeza hapo chini 👇
https://vitabu.somavitabu.co.tz/#/view/shop-item/29
Karibu Sana.