
Mpendwa Rafiki,
Unajikuta unaanza mwaka ukiwa na malengo makubwa, lakini mwisho wa mwaka unajikuta hakuna lolote ulilolitekeleza kifedha.
Je, si umechoshwa na mzunguko huu wa maisha? Kukosa nidhamu ya fedha kunaweza kuharibu ndoto zako kabisa.
Tatizo sio kipato kidogo unachoingiza. Tatizo ni ukosefu wa mipango na mbinu bora za usimamizi wa fedha.
Kitabu Cha *Usimamizi wa Fedha Binafsi* kinakufundisha mbinu rahisi na za kipekee za kudhibiti fedha zako.
Nunua sasa na anza safari ya uhuru wa kifedha.
Kukipata kwa ofa bonyeza hapa 👇 *https://vitabu.somavitabu.co.tz/#/view/shop-item/32/*
Na ikitokea umekwama popote piga simu au tuma ujumbe kwenda 0756694090.
Karibu Sana.