Je, Unajua Unavyotapeliwa Bila Kujua?

Unafanya maamuzi kila siku, lakini je, yanakusaidia au yanakuharibia maisha yako?

Wengi hatujui kwamba makosa yetu ya kisaikolojia yanawaweka matapeli kwenye nafasi ya kutunyonya bila sisi kujua.

Hili sio kosa lako! Mfumo wa ubongo wako mara nyingi huchukua njia rahisi ambazo matapeli wanazijua vizuri.

Kitabu Mwongozo Wa Maisha Ya Mafanikio kinakuonyesha makosa 28 ya kisaikolojia ambayo unafanya na jinsi ya kuyakwepa.

Nunua kitabu leo na jifunze kujilinda dhidi ya matapeli huku ukiboresha maamuzi yako ya kila siku!

Fungua Hapa 👇 Kukipakua,

https://vitabu.somavitabu.co.tz/#/view/shop-item/35