Wateja wako hawashawishiki kununua kwa sababu matangazo yako hayawagusi kihisia.

Unapoteza fursa kila siku. Mauzo yako yanashuka kwa sababu ujumbe wako hauwagusi wateja.

Sio kwamba hujui kuuza; ni kwamba hukujifunza jinsi ya kutumia hadithi kwenye matangazo yako.

Kitabu Siri Za Hadithi Za Mauzo kinakufundisha mbinu rahisi lakini zenye nguvu za kuandika matangazo yanayoshawishi na kuuza.

Usikubali kuendelea kupoteza. Pata kitabu leo na badilisha uelekeo wa biashara yako!

Kipakue hapa 👇 kwa ofa ya January.

https://vitabu.somavitabu.co.tz/#/view/shop-item/79

Karibu Sana.