
Mpendwa Rafiki,
Biashara nyingi hushindwa sio kwa sababu hazina bidhaa nzuri, bali kwa sababu hazijui jinsi ya kuwashawishi wateja kununua.
Je, umewahi kuhisi kwamba wateja hawazingatii bidhaa zako hata kama ni bora kuliko za wengine?
Inahuzunisha kuona juhudi zako zikikosa matokeo.
Tatizo sio bidhaa zako,
Tatizo ni jinsi unavyozitangaza. Matangazo mabovu ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa.
Jifunze ujuzi wa kuandika matangazo yenye ushawishi.
Ujuzi huu utakusaidia kuwashawishi wateja, kukuza mauzo yako, na kuwashinda washindani wako.
Anza leo.
Jifunze jinsi ya kuandika matangazo yanayovutia na kubadilisha biashara yako.
Na Kwa Mfano ukisoma kitabu hiki kipya cha *Siri Za Hadithi Za Mauzo**https://vitabu.somavitabu.co.tz/#/view/shop-item/79/*
Utaweza kuandika matangazo yanayogusa moyo wa wateja.
Kukipata Sasahivi Kwa Tshs 9950 badala ya Tshs 30000,
Weka Oda Yako Hapa 👇 *https://vitabu.somavitabu.co.tz/#/view/shop-it
Ps: Kwa Msaada Wa Haraka Piga 0756694090.