Mpendwa Rafiki,

Kuweka pesa kwenye biashara bila maarifa ni sawa na kuendesha gari gizani bila taa.

Aisha alikopa milioni tano kuanzisha biashara.

Miezi sita baadaye, alikuwa na deni kubwa na hakuna faida.

Lakini baada ya kujifunza misingi ya biashara, alianza upya, na sasa anauza zaidi ya milioni mbili kwa mwezi.

Je, utaendelea kufanya makosa au utajifunza kabla?

Na ni kama bahati kwako,

Kujifunza misingi yote ya biashara ingia hapa 👇

*https://vitabu.somavitabu.co.tz/#/view/shop-item/15/*

Karibu Sana.

0756694090.