
Mpendwa Rafiki,
Watu wengi wanaamini kuwa mshahara mdogo ndio sababu ya umasikini wao,
…lakini ukweli ni kwamba ni namna wanavyousimamia.
Hemed alikuwa akilalamika kila mwezi kwamba mshahara wake haumtoshi.
Lakini baada ya kugundua kanuni sahihi za Usimamizi wa Fedha Binafsi, aliweza kuokoa, kuwekeza, na kubadilisha maisha yake bila kuongeza mshahara wake.
Kama unataka kubadili hali yako ya kifedha bila kusubiri mshahara mkubwa,
Basi ingia ujifunze hapa 👇 *https://vitabu.somavitabu.co.tz/#/view/shop-item/32/*
Karibu.
0756694090.