Mpendwa Rafiki,
Biashara nyingi zinakufa kwa sababu wamiliki wake wanakurupuka bila maarifa sahihi.

Hassan alifungua duka, akatumia pesa zote kununua bidhaa.

Hakujua mbinu za usimamizi wa fedha. Mwezi wa tatu duka lilifilisika! Lakini Leo, baada ya kusoma misingi ya biashara, anaendesha biashara kubwa bila hofu ya kufilisika.

Usiruhusu ujinga wa biashara uendelee kukuharibia maisha.

Habari njema ni kwamba misingi yote iliyomsaidia Hassan unaikuta hapa 👇

https://vitabu.somavitabu.co.tz/#/view/shop-item/15

Karibu.
0756694090.