
Mpendwa Rafiki,
Muda haubembelezi wala haujali hisia zako.
Kama huutumi vizuri, utakuadhibu kwa majuto.
Lakini ukijifunza kuudhibiti, utakufanikisha haraka zaidi ya unavyodhani!
Watu wengi wanajidanganya wakisema:
🔴 Nitaanza kesho…
🔴 Mimi si mtu wa haraka…
Lakini ukweli ni huu: Muda haukungoji! Wanaouchukulia kwa uzito wanafanikiwa, na wanaouchezea wanalia baadaye.
Swali ni je, unataka kuwa kwenye kundi lipi?
📌 Kitabu cha MUDA UPO kinakupa mbinu za kuhakikisha kila sekunde unayotumia inakuletea matokeo makubwa!
Kupata kitabu hiki, ingia hapa 👇
https://vitabu.somavitabu.co.tz/#/view/shop-item/40/
Karibu.
0756694090.