Mpendwa Rafiki,

Watu wengi hukaa wakilalamika kwamba maisha ni magumu,

…lakini fedha hazimfuati anayelalamika – zinamfuata anayejifunza kuzitawala!

Hassan alikuwa akisema kila siku, Huu mshahara hautoshi, maisha yamepanda bei!

Lakini siku moja, alisikia kauli moja: “Tatizo si pesa, tatizo ni wewe!”

Aliamua kuacha kulalamika na akajifunza jinsi ya kusimamia kipato chake.

Akaanza kuweka akiba, kuwekeza kidogo kidogo, na leo ana biashara yake ndogo inayomletea kipato cha ziada! 🎯

🚀 Usibaki nyuma – Tafuta maarifa sahihi leo!

Yote unayapata hapa 👇
https://vitabu.somavitabu.co.tz/#/view/shop-item/24/*

Karibu.
0756694090.