Rafiki, Hivi unajua ungepaswa kuwa tajiri zaidi ya ulivyo sasa?
Ndiyo, huo ndiyo uhalisia wenyewe. Na kitu pekee kilichokukwamisha ni kukosa ujuzi muhimu kwenye USIMAMIZI WA FEDHA BINAFSI.
Hebu fikiria, tangu umeanza kupata pesa mpaka leo, tangu enzi unaomba na kupewa pesa, mpaka ukaanza kuingiza kwa juhudi zako, unakubali kweli kwamba hapo ulipo panatosha?
Jibu linapaswa kuwa HAPANA kubwa, kama kweli unataka kufanya makubwa zaidi kwenye maisha yako.
Kwa walio wengi, utaratibu walionao kwenye fedha ni *PATA PESA – TUMIA PESA*. Wakipata fedha, wanatumia mpaka zinaisha, kisha wanatafuta nyingine na mzunguko kuendelea hivyo.
Waajiriwa wanapolipwa mshahara, wanafanya matumizi mpaka unaisha na wakati mwingine hata kwenda hatua ya ziada kwa kukopa. Wakilipwa tena mshahara, wanalipa madeni na kutumia mpaka fedha iishe. Hivi ndivyo mzunguko wa waajiriwa kwenye mshahara na matumizi yao.
Wanaofanya biashara ndogo na waliojiajiri nao pia utaratibu unakuwa ni huo—kutafuta fedha, wakizipata wanafanya matumizi mpaka ziishe.
Kwa mwenendo huu, haishangazi kwa nini watu wengi wanakuwa na changamoto za kifedha. Hii ni kwa sababu hawana mwongozo sahihi wa usimamizi wa fedha zao binafsi.

*Mwongozo Sahihi wa Usimamizi wa Fedha Binafsi*
Usimamizi mzuri wa fedha binafsi una hatua tatu ambazo mtu anapaswa kuwa na ujuzi nazo:
✅ *KUPATA PESA*
✅ *KUTUNZA PESA*
✅ *KUZALISHA PESA*
Ili mtu awe vizuri kwenye eneo la fedha, ni lazima awe na ujuzi kwenye hatua zote tatu. Ujuzi ambao wengi wanao ni *kupata fedha na kuzitumia*, lakini *kuzitunza na kuzizalisha zaidi* ni jambo ambalo watu wengi hawana ujuzi nalo.
Kukosekana kwa ujuzi huu ndiko kumesababisha changamoto nyingi za kifedha ambazo watu wanakabiliana nazo.
Katika kitabu hiki cha *USIMAMIZI WA FEDHA BINAFSI*, utajifunza kwa kina hatua zote tatu za kifedha na hatua za kuchukua kwenye kila moja ili uwe na maisha huru.
Kwa sababu fedha ni muhimu kwenye maisha, huwezi kuwa huru kama huna fedha. *Jifunze sasa jinsi ya kusimamia fedha zako na kujenga uhuru wa kifedha!*
Pata nakala yako ya USIMAMIZI WA FEDHA BINAFSI sasa kwa kufungua hapa: https://bit.ly/tzutajiri
Habari njema ni kwamba ukinunua kitabu hiki leo, utapata *nafasi ya kujiunga na programu ya NGUVU YA BUKU,* ambapo utapata mafunzo na usimamizi wa uwekezaji wa vitendo.
Ukishapata kitabu, kuingia kwenye programu ni bure kabisa. Chukua hatua sasa; https://bit.ly/tzutajiri