
Mpendwa Rafiki,
Unajua nini kinauma kuliko mshahara mdogo?
Ni kuwa na mshahara lakini bado unaishi kama huna kazi.
Kila mwezi hela zinaingia… lakini hazikai.
Kila siku unasema, Mwaka huu lazima nibadili maisha… lakini bado umerudi palepale.
Unajituma kazini, unachoka, lakini mafanikio yako bado yako pending!
Halafu cha ajabu… watu walioanzisha biashara wakiwa bado kwenye ajira, leo hii wameanza kuamua hata siku ya ku-resign.
Wewe bado unaota tu, “siku moja…”
Siku moja haiji bila hatua, bro!
Ngoja nikuambie ukweli mchungu lakini wa maana…
Kama hujui kudili na pesa zako, hujui kupangilia muda wako vizuri, hujui kujiwekea direction ya mafanikio hata upewe mshahara mara mbili, bado utalia.
Utaishi ukifukuza maisha mpaka unazeeka.
Sasa basi, njoo nikuoneshe njia…
Tumeandaa PACKAGE YA ZAWADI KALI KABISA kwa wafanyakazi wote wenye ndoto kubwa kuliko mshahara wao.
Ina vitabu 4 vya kufungua akili na kukupa akili ya kiuchumi:
1. Biashara Ndani Ya Ajira – Jinsi ya kuanzisha biashara bila kuacha kazi.
2. Usimamizi wa Fedha Binafsi – Unajifunza jinsi ya kutawala hela zako, si hela zikutawale wewe.
3. Kanuni Ya Siku Ya Mafanikio – Habits zinazobadilisha mtu wa kawaida kuwa wa kipekee.
4. Muda Upo – Jinsi ya kutumia masaa 24 kama milionia.
Vyote hivi vinakuja kwa ELFU 50 tu badala ya ELFU 80.
Hii siyo punguzo, ni zawadi ya kukuinua.
Lakini zawadi hii ni mpaka JUMAMOSI hii ya tarehe 03/05/2025 tu.
Ngoja nikupe hadithi fupi ya mtaa…
Dulla ni jamaa wa kawaida sana, mtaani tunamjua, alikuwa anasema “hii kazi inanichosha but sina namna.”
Alipoanza kusoma hizi vitabu, ndani ya miezi 3 alikuwa ameanzisha biashara ya printing ndogo.
Leo hii anapiga hela mara mbili — ya kazi na ya biashara.
Na ananiambia, “Bro, kile kitabu cha Muda Upo kilinigusa mbaya.”
Hii siyo promo tu, ni msuli wa maisha.
Kama unataka kutoka kwenye mduara wa mshahara tu usikose hii zawadi.
Bonyeza hapa https://wa.link/5bnv81
Uhakikishe unajiwekea nafasi kabla JUMAMOSI haijafika.
Kumbuka; Hii Ni Zawadi Kwa Wanaotaka Kujitofautisha, SIYO WALIOTOROKA NDOTO ZAO.
Karibu.
0756694090.
Hii Barua Imeandikwa Na Mkufunzi Ramadhan Amir.