
Kakaa/Dadaa hebu fikiria hii… kila mwezi pesa inaingia, halafu ndani ya wiki mbili unajiuliza, *Ile hela imeenda wapi?*
Na wewe si mlevi.
Huna starehe kubwa.
Lakini bado hela zako zinaisha bila habari.
Mara kodi, mara vocha, mara outing ya ghafla.
Na mwisho wa mwezi unabaki na ndoto tu hakuna akiba, hakuna maendeleo.
Ni kama maisha yako yamefungwa kwenye lupu ya *kuishi kwa matumaini.
Ni uchungu bwana.
Unaamka mapema, unahustle, unateseka kwenye daladala…
Unakutana na presha za kazi, watu wanaokukera,
Lakini bado huna hata mia ya dharura mwishoni mwa mwezi.
Mwezi ukiisha ni kama umepigwa knockout.
Kila mara unajitetea, *Mwezi huu ndio najipanga upya.
Lakini unajikuta unaanza upya kwa deni tena!
Na sio kwa sababu huna kipato,
Ni kwa sababu huna mfumo.
Watu wengi huamini suluhisho ni kuongeza kipato.
Ati ukipata hela nyingi, maisha yatatulia.
Ni uongo mtupu!
Kama huwezi kusimamia elfu kumi, hata ukipewa laki tano utazichezea tu.
Utajiona mfalme wiki ya kwanza,
Na wiki inayofuata, utakuwa unachukua boom kwa jirani.
Tatizo si hela kidogo.Tatizo ni kutokuwa na udhibiti.
Unahitaji mfumo, si hela zaidi.
Ndiyo maana kuna Aplikesheni ya Usimamizi wa Fedha Binafsi.
Ni kama kuwa na Mhasibu mfukoni mwako.
Inakusaidia kujua hela yako inaenda wapi, lini, na kwanini.
Unaweka malengo yako kama kuweka akiba, kulipa deni, au kupanga bajeti ya mwezi.
Unapewa ripoti za kila siku unajua kabisa “Nimenunua nini leo na kwa nini?”Inaweka nidhamu kwenye matumizi yako bila kubana sana hadi uchoke.
Unakuwa free, lakini smart.
Dah! Kuna dogo mmoja anaitwa Brian, jamaa wa boda pale Kinondoni.
Hela yake ilikuwa haikai hata siku mbili.Kila siku anakopa, analipa, anakopa tena.
Nilimshauri tu ajaribu hiyo app ya usimamizi wa fedha.
Alianza kwa mashaka, akidhani ni ujinga.
Leo hii, dogo ameweka akiba ya laki tano ndani ya miezi miwili.
Anajua kila senti aliyoitumia.Anapanga matumizi yake kama bosi.
Anaeza hata kumudu kulipa ada ya mdogo wake bila kuteseka.
Na bado anakula vizuri.
Sasa ni zamu yako.
Usikubali maisha yakuzungushe kama karai la zege.
Jipange kifedha kama mjanja.
Pakua hiyo app leo anza kuongoza hela zako, Usiishi ukiongozwa na hela.
Hela inatakiwa ikutumikie si kukutesa.
JIPANGE!
Na ni kama bahati kwako leo hii,
Kwani Aplikesheni hii iliyomsaidia Brian, Unaipata leo kwa ofa ya ada ya Tshs 29,999 TU!
Kwa Mwaka mzima badala ya Tshs 100,000 Nzima.
Kwasababu Brian kaomba niwapunguzie ili na nyie mnufaike kama alivyonufaika nayo.
Leo ninachukua 15 TU!
Ni hapa 👇
Au tuma ujumbe *Nataka Aplikesheni Iliyomsaidia Brian*
Kwenda namba 0756694090.
Karibu.
Imeandikwa Na Mkufunzi Ramadhan.