
Kakaa/Dadaa….
Unajua kitu gani kinaumiza?
Ni kuona mtu anajikatia tamaa.
Anasema, “Mimi siwezi.”
Anajiona wa kawaida sana.
Mtu mwenye ndoto kubwa, lakini moyo wake mdogo.
Na mbaya zaidi… ni mtu kama wewe.
Ndiyo wewe unayesoma sasa hivi.
Ulishawahi kujiambia, “Hii ni bahati yao wengine tu”?
Ulishawahi kuacha ndoto zako kwa sababu mambo hayaendi?
Ukajiona kama vile miujiza ni ya watu wachache waliozaliwa nayo?
Ile hali ya kuamka ukiwa na huzuni.
Unacheka lakini moyoni unalia.
Kwa sababu umeamini uongo mmoja mbaya:
Eti huna nguvu.
Ngoja nikuambie ukweli mchungu.
Huo uongo ulioaminishwa ni sumu.
Umefundishwa kuogopa ndoto zako.
Umeaminishwa kuwa mafanikio ni ya matajiri, si yako.
Lakini hiyo ni ngano tu.
Hakuna aliyezaliwa na miujiza mkononi.
Kila mtu alianza akiwa hana kitu.
Miujiza siyo uchawi ni matokeo ya hatua ndogo ndogo zenye msimamo.
Hebu amka.
Tazama ndani yako.
Kuna nguvu ya kushangaza.
Ukiamua, unaweza.
Ukitenda, utafanikiwa.
Miujiza inatungwa, haitokei tu.
Kila siku unayoishi, ni nafasi ya kuitengeneza.
Usikae tu ukingoja neema ije.
Tengeneza neema.
Anza leo.
Kidogo kidogo, utashangaa.
Miujiza yako itakuwa ya kweli.
Nakuambia ukweli.
Nilishawahi kulala njaa.
Nilishawahi kulia gizani nikijiuliza, “Mungu mbona kimya?”
Niliona wenzangu wanaenda mbali, nikiwa nimekwama.
Lakini sikuacha kuamini.
Nikaanza kusoma. Nikaanza kuandika.
Nikaanza kuchukua hatua ndogo.
Siku moja, wateja wakaanza kunijia.
Pesa zikaanza kutembea.
Maisha yakaanza kubadilika.
Na leo hii, naandika huku nikitabasamu.
Kwa sababu niligundua siri hii moja:
NGUVU YA MIUJIZA IPO NDANI YAKO.
Usiogope.
Usijikatishe tamaa.
Anza leo.
Kama Unataka Mwongozo Wa Kutenda Miujiza,
Bonyeza Hapa 👇
*https://wa.link/l1iuac*
Karibu.
0756694090.
Imeandikwa Na Mkufunzi Ramadhan Amir.