Au unaishi tu kwa kubahatisha kama gari lisilo na breki?

‎Rafiki Yangu Mpendwa,

‎Watu wengi wanamka kila siku…
‎Wanaoga, wanavaa, wanatoka.
‎Lakini hawajui kwa nini wanaishi.

‎Wanapambana… lakini hawajui wanapambana kwa lipi.
‎Wanaume wanahangaika na mihangaiko,
‎Wanawake wanahangaika na wanaume.
‎Kila mtu anakimbia, lakini hakuna anayeuliza:

‎”Tunakoenda ni wapi?”

‎Ishu Hii Ndio Inasababisha Maisha Ya Watu Yatupwe Kama Karatasi Iliyotumika.

‎Unajikuta una miaka 30… lakini unahisi hujaanza kuishi.
‎Unajiona hufai.
‎Unachoka bila kazi.
‎Una usingizi wa saa 10 lakini bado umechoka.

‎Unapoteza nguvu kwenye mambo yasiyojenga.
‎Unapata hela unazimaliza bila hata kumbukumbu.

‎Unapenda unakataliwa.
‎Unajifunza lakini bado maisha yako yapo vile vile.

‎Unapambana, lakini unapambana gizani.
‎Umefungwa kwa minyororo usiyoiona…

‎Na minyororo hiyo inaitwa: “Kutokujua KUSUDI la maisha yako.”

‎Kujua Kisudi Ni Siri Ya Waliotoka Chini Wakafika Juu.

‎Wewe si maskini umepoteza mwelekeo tu.
‎Wewe si mvivu hujagundua unachopaswa kufanya.

‎Wewe si mshindwa hujajua sababu ya wewe kuwa hai.

‎Watu wakishajua walichozaliwa kufanya,
‎wanabadilika kama mwewe aliyefunguliwa.

‎Wanapaa.
‎Wanang’ara.
‎Wanatesa!

‎Ukweli Ni Huu: Maisha Hayaanzi Kwa Kupata Pesa Yanaanza Kwa Kujielewa.

‎Na huwezi kujielewa bila MWONGOZO.
‎Huwezi kufika bila RAMANI.
‎Huwezi kushinda bila KUJUA UNAPIGANIA NINI.

‎Ukweli mwingine ni huu:
‎Watu wengi wameishia kuishi maisha ya kuigiza.
‎Maisha ya watu wengine.
‎Wanavaa kama wengine.

‎Wanakimbia mafanikio ya wengine.
‎Wanajilinganisha.
‎Wanashindana.

‎Lakini ndani yao kuna MOTO UMEFICHWA.
‎Moto wa ndoto zao.
‎Moto wa kusudi lao.
‎Moto wa ukubwa wao halisi.

‎SULUHISHO?

‎Chukua MWONGOZO huu: “MWONGOZO WA MAISHA YA MAFANIKIO.”



‎Ndani yake utajifunza:
‎✅ Jinsi ya kugundua kusudi lako.
‎Sheria 100 za maisha ya mafanikio.
‎✅ Jinsi ya kuamka kila asubuhi ukiwa na maana
‎✅ Jinsi ya kuishi maisha ya tofauti
‎✅ Jinsi ya kuacha kuigiza na kuanza kuishi maisha yako halisi

‎Bado namkumbuka Huyu Kijana.

‎Kuna kijana mmoja alinitafuta.
‎Alichoka kuishi maisha ya ‘kawaida.’
‎Alikuwa na degree.

‎Alikuwa na kazi.
‎Lakini kila kitu kilionekana kimekosa ladha.

‎Akaanza kunywa.
‎Akaanza kuchelewa kazini.
‎Akaanza kujichukia.

‎Siku moja akaniambia:
‎“Bro, naishi kama si mimi.”

‎Nikampa mwongozo huu.
‎Akarudi baada ya wiki tatu na macho yenye mwanga.

‎Sasa ameanzisha kitu chake.
‎Anaamka kabla ya saa kumi.
‎Anapata pesa.
‎Anapendwa.
‎Anajipenda.

‎Maana sasa anajua KUSUDI lake.

‎Uko Tayari Kuamka?

‎Ama utaendelea kuishi kama ndoto ya mtu mwingine?

‎👉 Chukua mwongozo huu sasa hivi.
‎👉 Usiishi kama kivuli jifunze kuangaza.


‎Bonyeza hapa kuupata MWONGOZO WA MAISHA YA MAFANIKIO.

‎👇👇👇

‎📲 https://wa.link/58tfgk


‎Kumbuka:
‎Maisha bila kusudi ni kama gari bila usukani.
‎Linaweza kuwa la kifahari lakini mwisho wake ni mtaroni.

‎Kutoka Kwa Rafiki Yako Anayekupenda Na Kukubali Sana,

‎Mkufunzi Ramadhan Amir




‎-