
Rafiki Yangu Mpendwa,
Watoto Wengi Wameachwa Kama Karanga Zilizomwagika.
Hawajui fedha ni nini.
Wamefundishwa ABC, lakini siyo buku.
Wanajua TikTok, lakini siyo bajeti.
Wanajua kufungua simu, lakini siyo akaunti ya akiba.
Wanapewa hela, halafu inayeyuka kama barafu juani.
Hili ni tatizo. Kubwa.
Na si kosa lao.
Wazazi wengi hawakufundishwa, sasa watoto wanarithi ujinga wa pesa.
Siku Ukifa…
Mtoto wako atarithi nini?
Mali au ujinga wa pesa?
Utamwachia gari au umasikini wa akili?
Hivi unajua kwamba…
Madarasa hayafundishi haya.
Mitaani wanawafundisha “kuhustle,” siyo kuokoa.
Kila siku wanakula buku zako kama pipi, hakuna anayefikiri kesho.
Lakini Mtoto Ni MDOGO SANA…
Acha bwana!
Hii ni karne ya 21.
Watoto wa wengine wana madeni kwa majina yao, halafu wewe unasema wako ni mdogo sana kuokoa buku?
Wanaweza kukariri nyimbo za Diamond, lakini wasifundishwe kuwekeza?
Tuwape zawadi ya maarifa.
Tuwape silaha ya fedha mapema.
Suluhisho Limefika Na Linabebeka!
Kitabu kipya cha NGUVU YA BUKU TOTO.
Hakina maneno mengi.
Kimejaa vitendo.
Kinazungumza lugha ya watoto na wazazi pia.
Kinafundisha namna ya:
✅ Kuokoa
✅ Kuzalisha
✅ Kuwekeza
✅ Kufurahia safari ya fedha wakiwa bado wadogo.
Kuna programu pia – NGUVU YA BUKU TOTO ya kumfanya mtoto ajifunze kwa vitendo.
Sikiliza Hii Stori Ya Kweli:
Mama mmoja alikuja na mtoto wake.
Mtoto alikuwa anapewa elfu mbili kila siku shule.
Baada ya kuhudhuria semina ya Elimu Ya Fedha,
Wiki tatu baadae , alianza kuweka buku moja kila siku.
Baada ya mwezi, alifungua akaunti ya benki.
Baada ya miezi miwili, alianza kuuza juice baada ya shule.
Sasa anajiita MDOGO WA MJASIRIAMALI
Mama yake anasema, Hii kitu imenisaidia hata mimi. Nilikuwa sijui hela inaenda wapi.
Ni kweli kabisa mtoto mmoja anaweza kuokoa kizazi kizima.
Sasa fikiria mtoto wako akisoma hiki kitabu…
Hiki Si Kitabu Tu, Ni ZAWADI YA MAISHA.
👉 Onyesha upendo, si kwa maneno tu, bali kwa maarifa.
👉 Mnunulie mtoto wako NGUVU YA BUKU TOTO.
👉 Mfundishe mapema kabla dunia haijamfundisha kwa maumivu.
Unataka mtoto wako awe na maisha bora?
Anza na kitabu bora.
Anza na NGUVU YA BUKU TOTO.
Kabla ya tarehe 8 mwezi huu wa 6, unakipata kwa Tshs 9,999 TU!
Kuanzia tarehe 9 /06/2025,
Utakipata kwa Tshs 20,000 Nzima.
Okoa leo, Tshs 10,000 Nzima.
Kuweka Oda Yako,
Bonyeza Hapa 👇
https://wa.link/2x7eqq
Au Piga 0756694090.
Karibu.
Kutoka Kwa Rafiki Yako Anayekupenda Na Kukujali Sana,
Mkufunzi Ramadhan Amir.