
Mama Rehema alikuwa mzazi wa kawaida tu mwenye mapambano ya kila siku 🧺.
Mtoto wake, Jamilah, alikuwa mpenda TikTok, sweetie na Netflix 📱🍬.
Kila siku alikuwa akiomba buku mbili, tatu… ila hakujua inakwenda wapi 💸.
Siku moja, Mama Jamilah alipata ujumbe kwenye WhatsApp 📨.
Ulikuwa kuhusu program ya NGUVU YA BUKU TOTO 📘.
Ulikuwa unawafundisha wazazi,walezi na watoto mbinu za kuokoa, kuwekeza na kuanzisha biashara ndogo 🛍️.
Moyo wake ulimwambia: “Jamilah bado mdogo sana… ataelewa kweli?” 🤔
Alitaka kumpa muda zaidi acheze, akae darasani…
Lakini moyoni alikuwa na hofu: Je, nikichelewa, nitamharibu? 💔
Akamkumbuka shangazi yake aliyemfundisha biashara akiwa darasa la tano 🧕🏾.
Leo ni mmiliki wa maduka manne jijini.
Alimwambia: “Rehema, utajiri unaanza na misingi. Si umri.” 💬
Akaamua kuchukua hatua akalipia program kwa ofa ya Tshs 50,000 tu! 💥
Akaanza kusoma pamoja na Jamilah, kila jioni kwa dakika 20 ⏰.
Jamilah akawa na ndoto mpya ya kuuza bangili mtandaoni 📿📲.
Mara ya kwanza hakuuza hata moja 😔.
Watu walimcheka “Huu ni mchezo wa kitoto.”
Lakini mama ake alimsapoti, akamnunulia vifaa, na kumpa moyo ❤️.
Leo hii, Jamilah huuza bangili online 🛒.
Anapata buku 5 kila wiki, na bado yuko darasa la saba 📈.
Anaelewa kuokoa, kuweka malengo na kufanya mahesabu yake mwenyewe 📊.
Mama Rehema sasa anasema kwa fahari:
“Mtoto wangu anajifunza pesa mapema kuliko nilivyowahi fanya!” 👩👧
Na anawashauri kina mama wengine kuanza sasa, wasingojee hadi form four 🛑.
Ni kama bahati kwako unapata Package Ya NGUVU YA BUKU TOTO kwa Tsh 50,000 TU! badala ya 100,000 💵
Ofa hii ni mpaka Jumapili hii tu ⏳.
Baada ya hapo, bei inarudi juu, usichelewe kumpa mtoto wako zawadi ya maisha 🎁.
📲 Kuwahi Ofa Hii Bonyeza Hapa 👇
Karibu.
0756694090.
💡 Kumbuka:
Usimlazimishe mtoto wako kuwa tajiri kesho.
Mfundishe kuwa mjanja leo.
Ndiyo zawadi bora unayoweza kumpa 🙏🏽.
Rafiki Yako Anayekupenda Na Kukujali Sana,
Mkufunzi Ramadhan