
Rafiki,
Mazingira Ya Nyumbani Yanamlea Mtoto Mwenye Akili Ya Fedha.
🟢 Mtoto wako hajifunzi kutumia pesa kwa kusoma vitabu tu bali kwa kukuangalia wewe kila siku.
🔵 Unavyoongea kuhusu pesa, unavyolalamika au kushukuru, unavyopanga au kutapanya mtoto wako anaunda mtazamo wa maisha kuhusu fedha.
🟣 Mwanafunzi wetu mmoja wa darasa la Nguvu ya Buku alianza kuwafundisha watoto wake kuwekeza.
Mwaka mmoja baadaye, mtoto wake mwenye miaka 11 alinunua kinanda kwa pesa aliyokuwa akiweka taratibu kila wiki.
🟠Mtoto anaweza kuwa bilionea wa baadaye au ombaomba wa baadaye kwa msingi wa kile unachomfundisha nyumbani leo bila kujua.
🔴 👉 Jiunge na Program ya NGUVU YA BUKU na ujifunze mbinu 7 za kulea mtoto mwenye akili ya fedha.
📲 Bonyeza hapa: *https://wa.link/h2ish9*
Karibu.
0756694090.