
Rafiki Yangu,
Umewahi kujiuliza kwa nini pesa zako huisha haraka?
Umewahi kuumia kuona kipato kinaingia lakini hakikai?
Unajikuta huwezi kuweka akiba wala kuwekeza?
Hapo ndipo tatizo lilipo.
Na ndio maana Challenge Ya Nguvu Ya Buku imekuja kukushika mkono.
Hii challenge ni tofauti.
Itakusaidia kuongeza kipato,
kudhibiti matumizi,
na kuwekeza kila siku bila kusita.
Fikiria ukijenga tabia na nidhamu ya kuokoa kila siku.
Ukijifunza kuzalisha hela hata pale ambapo hukutarajia.
Ukianza kuwekeza kidogo kidogo mpaka ikawa mtindo wa maisha.
Hapo ndipo maisha yako ya kifedha yanabadilika kabisa.
Hakuna kuchelewa. Hakuna kurudi nyuma.
👉 Jiunge na Challenge Ya Nguvu Ya Buku sasa hivi.
Bonyeza hapa 👇
https://wa.link/dc27zz
Karibu.
0756694090