
Rafiki Yangu,
Kila mtu ana pesa.
Iwe kidogo, iwe nyingi.
Lakini si kila mtu ana uhusiano mzuri na pesa zake.
Kuna watu pesa inawatumia.
Inawapanga.
Inawasukuma.
Inawapa stress.
Inawafanya waanze mwezi wakiwa na matumaini,
na kumaliza mwezi wakiwa wanapiga kelele.
Na kulalamika….
Mwezi umeisha haraka sana.
Yaani watu hawajui kuwa pesa ina tabia.
Pesa ina nguvu.
Pesa inaweza kukutumikia…
au ikakukalia kichwani.
Na ukweli mchungu ni huu:
Watu wengi hawafundishwi tabia ya pesa shuleni.
Hawajui namna pesa inavyofanya kazi.
Hawajui namna ya kuifanya izalishe.
Hawajui mfumo.
Wewe si mvivu.
Wewe si mjinga.
Umehangaika sana.
Lakini bila mfumo, pesa itakutawala tu.
Ndio maana unajikuta kila mwezi unaanza upya.
Unalipwa, unalipa madeni,
halafu unaanza kuishi kwa matarajio ya malipo yajayo.
Kila wakati unafanya kazi kwa nguvu,
lakini maisha yako hayabadiliki sana.
Bado kuna hofu ya dharura.
Bado kuna shinikizo la gharama.
Bado kuna wasiwasi wa kesho.
Kuna wakati unajiuliza kimya kimya…
“Hivi kazi nitaifanya mpaka lini?*
Hivi nikiumwa? Nikifukuzwa kazi?
Nikistaafu? Itakuwaje?
Lakini hujasema maneno hayo kwa sauti.
Unayaweka moyoni.
Sawa tu.
Wengi huficha hofu hizi.
Lakini zinakula watu ndani.
Kuna watu wanaamini kuwa…
Ili uwekezaji uanze, lazima uwe na pesa nyingi.
Huo ni uongo mkubwa.
Kuna wengine wanaamini kuwa uwekezaji ni kwa ajili ya watu maalumu.
Nao wanajidanganya.
Na kuna wanaodhani uwekezaji ni mambo ya namba ngumu,
graphs, formulas, na vitabu vya redio.
Nonsense.
Ukweli ni huu…
Uwekezaji ni mfumo.
Mfumo rahisi.
Mfumo unaofanya pesa yako ifanye kazi badala yako.
Na huanza na kidogo sana.
Kinachowashinda watu si pesa.
Ni maarifa.
Ni uelewa.
Ni msingi.
Kuna suluhisho rahisi kuliko unavyodhani.
Badilisha uhusiano wako na pesa.
Usifanye kazi kwa pesa pekee…
Acha pesa ifanye kazi kwa ajili yako.
Jifunze kuweka pesa sehemu ambayo inazaa,
hata ukiwa usingizini.
Jifunze kujenga mifumo midogo midogo,
inayokuletea kipato bila kukulazimisha kuongeza saa za kazi.
Anyway, kujifunza zaidi unaweza kusoma kitabu hiki kipya cha ELIMU YA MSINGI YA UWEKEZAJI
Kukipata anzia hapa 👇
https://wa.link/kj1hrl
Karibu.
0756694090.
PS: Mfumo Mzuri Wa Pesa Unakupa Uhuru.
Unakupa Amani.
Unakupa Nafasi Ya Kupanga