
Rafiki Yangu,
Changamoto nyingi za biashara hazitoki sokoni.
Zinatoka ndani: wateja kusahaulika, mauzo kutofuatiliwa, pesa kutoonekana wazi.
Mfumo wa Mauzo CRM & Accounting ni tiba kamili.
Unatunza kila mteja, unakukumbusha follow up, unahesabu kila shilingi, na kukuonyesha biashara yako ilipo kwa muda sahihi.
Badala ya kuzima moto kila siku, tumia mfumo unaotibu chanzo cha tatizo,
…na mauzo yanaanza kuongezeka yenyewe.
Na ni kama bado kwako, kwa mfano ukilipia kifurushi cha mwezi leo unapata ofa ya meseji 500 za kumbuka sms- Bure.
Hii ni kwa watu 9 tu wa kwanza.
Kama hutaki kuikosa basi bonyeza hapa 👇
https://wa.link/289wdg
Karibu.
0756694090.