
Rafiki Yangu,
Biashara inayokua haiendeshwi kwa kelele, au kukimbizana na wafanyakazi.
Inaendeshwa kwa taarifa.
Mfumo wa CRM & Accounting unakupa uwezo wa kuona kila mteja, kila mauzo, kila ahadi, na kila shilingi.
Unajua kinachoendelea bila kuuliza.
Unapima kwa ripoti, sio maneno.
Hapo ndipo maamuzi sahihi huanza, na biashara inaanza kukuheshimu kama mmiliki, sio mtumwa wake.
Na ni kama bahati kwako, kwa mfano ukilipia kifurushi cha mwezi leo unapata ofa ya meseji 500 za kumbuka sms- Bure.
Hii ni kwa watu 11 tu wa kwanza.
Kama hutaki kuikosa basi bonyeza hapa 👇
https://wa.link/289wdg
Karibu.
0756694090.