
Rafiki Yangu,
Watu wengi wanafikiri wanakosa muda.
Lakini ukweli mchungu ni huu…tatizo si muda.
Tatizo ni kukosa nidhamu na mfumo sahihi wa kuutumia.
Kila mtu ana saa 24 tu kila siku.
Hakuna aliye na zaidi, hakuna aliye na kidogo.
Tofauti kati ya mtu anayefanikisha malengo makubwa na yule anayebaki pale pale ni hatua moja tu,
…hatua ya kuamua kutumia muda wake kwa busara.
Wengine wanapanga, wanashughulika na dharura zisizo na tija, wakimaliza siku wakiwa wamechoka, hawajafanya maendeleo yoyote.
Wengine, wale wachache wanaofanikiwa kweli, wanaanza sasa.
Wanajifunza jinsi ya kupangilia siku zao, kupangilia malengo, kujenga tabia ndogo zenye nguvu, na kutumia mfumo unaowapa matokeo makubwa bila presha.
Wewe ni tofauti.
Wewe ni mtu anayejua kuwa mafanikio yanategemea maamuzi sahihi, sio bahati.
Ukiangalia faida ni nyingi kuliko hasara, unachukua hatua.
Hiyo ndiyo sababu 103+ tayari wamechagua upande wa faida.
Swali ni..wewe uko wapi?
Hapa ndipo kitabu cha MUDA UPO kinapokuja.
Hiki si kitabu cha motisha tu.
Si hadithi ya kusoma na kusahau. Ni mwongozo wa vitendo unaokufundisha jinsi ya…
Kuunda mfumo unaokuwezesha kutumia muda wako kwa kazi zinazoleta matokeo halisi, si uchovu tu.
Kuongeza ufanisi wako kila siku, kukamilisha malengo hatua kwa hatua.
Kuishi maisha yenye matokeo halisi, yenye ushawishi, na maendeleo endelevu.
Kuondoa visingizio, kuchukua uongozi wa kila saa, na kuacha kusubiri hamasa.
Na si kitabu pekee.
Fikiria hatua ndogo unayochukua leo inaweza kuwa mwanzo wa mabadiliko makubwa.
Baada ya miezi 6, wale waliokuwa tayari watakuwa mbele yako.
Pengo litakuwa kubwa zaidi.
Baada ya mwaka mmoja, tofauti itakuwa ya kushangaza.
Huu ndio muda wa kuchukua hatua,
Hardcopy unaipata kwa Tsh 30,000 TU!
Na Softcopy unaipata kwa Tsh 10,000 TU!
Kisipokusaidia unarudishiwa pesa zako.
Usisubiri. Usiruhusu mwaka mwingine uishe bila mabadiliko.
Chukua hatua sasa. Hatua yako ya kwanza inaanzia hapa 👇