Rafiki Yangu,

Ni mara ngapi umesema, Sina muda?

Sina muda wa kusoma.
Sina muda wa kupangilia maisha yangu.
Sina muda wa kuanza mradi ule.
Sina muda wa kujifunza kitu kipya.

Kauli hii imewazuia watu wengi kufika mbali kuliko walivyowahi kufikiria.

Si kwa sababu hawakuwa na uwezo.

Si kwa sababu hawakuwa na ndoto.

Bali kwa sababu waliamini tatizo lao ni muda.

Lakini hebu tuwe wakweli kidogo…

Sina muda si tatizo halisi.

Ni ishara.
Ni ishara ya kukosa mfumo sahihi wa kupanga, kuchagua kilicho muhimu, na kuishi kwa vipaumbele.

Ukweli ni kwamba kila mtu ana masaa 24 kwa siku.

Mafanikio hayaji kwa wale wenye saa 30.

Yanakuja kwa wale wanaojua kuyatumia yale 24 waliyopewa.

Tofauti iko kwenye namna ya kuyatumia.

Wengine wanatumia muda wao kuzima moto wa dharura kila siku.

Wengine wanatumia muda wao kujenga mustakabali wao.

Wengine wanaishi kwa mazoea.
Wengine wanaishi kwa mfumo.

Na mfumo huo unaweza kujifunza.

Hapo ndipo kitabu cha MUDA UPO kinapokuja.

Hiki si kitabu cha kukutia moyo tu halafu kesho urudi kwenye mzunguko uleule.

Hiki ni kitabu cha vitendo. Kitakachokufundisha jinsi ya kuondoa vurugu kwenye siku zako na kuweka mpangilio unaozaa matokeo.

Kupitia kitabu cha MUDA UPO utajifunza…

  • Jinsi ya kutambua mambo muhimu kweli katika maisha yako
  • Jinsi ya kupanga siku zako kwa matokeo, sio kwa bahati
  • Jinsi ya kuacha kuishi kwa presha na kuanza kuishi kwa mpangilio.
  • Jinsi ya kujenga tabia ndogo zinazoleta mafanikio makubwa
  • Jinsi ya kuongeza ufanisi bila kuongeza uchovu.
    Fikiria siku zako zikiwa na uwazi.

Unajua nini kifanyike.
Unajua lini kifanyike.
Na unamaliza siku ukiwa na hisia ya maendeleo, sio uchovu tu.

Kwa sababu ukweli mchungu ni huu…
Watu wengi wanachoka sana, lakini hawasongi mbele.

Wanatumia nguvu nyingi, lakini hawana mfumo.

Na bila mfumo, hata bidii kubwa inakuwa kama maji yanayomwagika ardhini.

Lakini ukiwa na mfumo sahihi, hata hatua ndogo zinaanza kuleta mabadiliko makubwa.

Baada ya mwezi mmoja utaona tofauti.
Baada ya miezi mitatu utaanza kushangaa jinsi ulivyokuwa unaishi kabla.

Baada ya mwaka mmoja, maisha yako yanaweza kuwa katika kiwango kingine kabisa.

Swali ni…
Je, utaendelea kusema sina muda?
Au utaamua leo kuutawala muda wako?

Kwa sababu kila siku unayoahirisha mabadiliko, ni siku nyingine inayoongeza pengo kati yako na malengo yako.

Usiendelee kuahirisha.
Usisubiri hali ikubane.
Usisubiri uchoke kupita kiasi.

Usisubiri mwaka uishe ndipo ujilaumu tena.

Chukua hatua sasa.
Bonyeza hapa 👇
https://wa.link/qb711b

Anza safari ya kuondoa vurugu kwenye maisha yako na kuweka mfumo unaokupa matokeo halisi.

Karibu.
0756694090.

PS: Muda upo. Swali ni, utaendelea kuutumia kwa mazoea… au utaamua kuutumia kwa kusudi? Uamuzi ni wako.

0756694090