Nick Vijicic alizaliwa bila mikono wala miguu, ila mambo anayyafanya amewazidi wengi waizaliwa na mwili uiokamilika. Hii inaonesha ni jinsi gani akili ya binadamu isivyokuwa na kikomo na yeyote anaeamua kufanya jambo anaweza kuifanya. Hakuna anaeweza kukuzuia ila wewe.

Nick VujicicNick Vujicic3

Nick ana msemo wake anakuambia UKIMUONA KWA MARA YA KWANZA UTAMUONEA HURUMA, ILA UKIYAJUA MAISHA YAKE UTAJIONEA HURUMA MWENYEWE.

  Chukua dakika zako 4 kuangalia hiyo video hapo chini. Itakupatia nguvu kubwa ana ya kuendelea na mapambano ya maisha. Iangalie video hiyo mara kwa mara.