PENDEKEZA BLOG HII KUINGIA KWENYE SHINDANO LA BLOG TANZANIA

 blog award

Kama wewe ni msomaji wa makala mbalimbali kwenye blog hii na kwa namna moja zimekusaidia ama kukuhamasisha naomba uipendekeze blog hii iingie kwenye shindano la blog Tanzania.

  Kama blog hii itafanikiwa kuingia kwenye shindano hilo na kushinda ni dhahiri yaliyomo humu yatawafikia wengi zaidi na tukaendelea kusaidiana ili kufikia malengo yetu kwa pamoja.

  Na ili blog hii iweze kuingia kwenye shindano na kushinda, ni muhimu kwa wewe kuipendekeza na baadae kuipigia kura.

  Tafadhali sana chukua muda wako kidogo kwa kuipendekeza blog hii katika vipengele vifuatavyo;

BEST EDUCATIONAL BLOG

BEST INSPIRATION BLOG

JINSI YA KUPENDEKEZA

Andika email kwenda tanzanianblogawards@gmail.com

subject weka http://amkamtanzania.blogspot.com/

body andika; Best Educational Blog, Best Inspiration Blog

  Asante kwa ushirikiano wako na endelea kuwashirikisha wenzako makala za blog hii.

KWA MAELEZO ZAIDI;

Vipengele vya Kushiriki na Sheria za Shindano la Mwaka Huu 2013

Hii post ni kwa kiswahili….lakini maelekezo yake ni sawa na hivyo iliyopita
Tafadhali soma vizuri. Mwaka huu tumebadilisha,vipengele vya shindano letu na sheria ya shindano letu.  Kwa blog yako au blog unayotaka ipendekezwe tafadhali wataarifu bloggers hao, hatutaki kushirikisha bloggers ambao hawataki kuhusishwa katika shindano hili. Sasa ili tujue kuwa blogger huyo unayempendekeza amekubali au anajua kushirikishwa kwake katika shindano hili mwambie alink blog yake katika shindano letu.
Jinsi ya kulink
1. Aandike post kuhusu shindano hili na kuwataarifu wasomaje wake katika post hiyo alinki kwetu…Tanzanian blog awards link. 
2. Kama blog unayoipendekaza hatafanya hivyo blog yake haitashirikishwa
3. Unaweza kupendekeza blog katika vipengele vingi upedavyo lakini katika kila email unayotuma ni blog moja tu utaruhusiwa kuipendekeza kwa wakati mmoja
mfano:  Kwenye subject unaandika jina la blog unayotaka kuipendekeza 
              tanzanianblogawards.blogspot.com
Kwenye body ya email unaandika vipengele unayotaka blog hiyo ishirikishwe
Best Agriculture
Best Beauty/Fashion Blog
etc etc  
4. Email iwe ni ya ukweli kama tukiwa tunataka kuwasiliana na wewe kuhusu link ya blog uliyopendekeza tuweze kufanya hivyo na tuma mapendekezo yako kwa hii hapa Email

nomination@bloggersassociationoftanzania.com au tanzanianblogawards@gmail.com
5. Mwanzo wa kupokea mapendekezo hayo ni
Tarehe 17/8/ 2013 saa 12:01am mpaka tarehe 30/8/2013 saa 11:59pm saa za Africa mashariki
Vipengele 
Best Agriculture
Best Beauty/Fashion Blog
Best Business Blog
Best Creative Writing Blog
Best Design/Graphic Design Blog
Best Educational Blog
Best Entertainments
Best Food Blog
Best General Blog
Best Inspiration Blog
Best Newcomer Blog
Best News Blog
Best Photography Blog
Best Political Blog
Best Religion Blog
Best Sports Blog
Best Technology Blog
Best Tots Blog  (17 yr old and below)
Best Travel Blogs

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Create a website or blog at WordPress.com

Up ↑

%d bloggers like this: