Lile shindano la blogs bora tanzania limefikia hatua ya upigaji kura. Na blog yetu hii imeingia katika vipengele viwili ambavyo ni
2. Best creative writing blog.
Wewe kama msomaji wa makala mbalimbali kwenye blog hii nakuomba uchukue dakika zisizozidi mbili kuipigia kura blog hii ili iweze kushinda.
Kama utaipigia blog hii kura na ikashinda basi utakuwa umesambaza ujumbe mzuri unaopatikana humu kwa wengi zaidi. Na pia utakuwa umetoa changamoto ya kuandika makala nzuri zaidi na zitakazowasaidia wengi zaidi.
Tafadhali benyeza hizi link hapo chini na uipigie kura amkamtanzania.blogspot.com
Asante kwa ushirikiano wako, tafadhali waambie na wenzako waipigia kura blog yetu hii.