blog award

  Wewe kama msomaji wa makala mbalimbali kwenye blog yetu hii ya AMKA MTANZANIA tafadhali chukua muda kidogo kuipigia blog yetu kuza kwenye shindano la blog tanzania.

  Kwa kuipigia blog hii kura na ikashinda unakuwa umeshiriki kwenye kusambaza ujumbe mzuri unaopatikana kwenye blog hii kuwafikia watanzania wengi zaidi. Tafadhali kuwa sehemu ya mabadiliko kwa Tanzania kwa kuipigia kura blog ya amka mtanzania.blogspot.com.

JINSI YA KUPIGA KURA

  Blog hii imechaguliwa kushindana katika vipengele vitatu. Unaweza kuipigia kura kwa kila kipengele ama unaweza kupiga kura kwa vipengele vyote sehemu moja.

Kupiga kura kwa kila kipengele bonyeza kila kipengele hapa chini na upige kura, kumbuka kupiga kura kwenye vipengele vyote vitatu.

1. Best inspirational blog

2. Best creative writing blog

3. Best business blog (kwenye kipengele hiki chagua ya kwanza iliyoandikwa best business blog)

 

  Kama unaona kuchagua kila kipengele kivyake kunachosha unaweza kuchagua vipengele vyote kwenye link moja. Ipigie kura blog amkamtanzania.blogspot.com kwa kubonyeza hayo maandishi. Kumbuka kwa kutumia link hiyo inabidi uchagua blog moja kwenye kila kipengele, ichague amka mtanzania kwenye vipengele vitatu ilipo na vipengele vingine chagua blog nyingine.

  Nashukuru sana kwa ushirikiano wako na pia washirikishe marafiki zako wao wa Ipigie kura blog amkamtanzania.blogspot.com

  Kumbuka kubonyeza hapa na upige kura kabla hujaondoka.